Habari Mpya

Tuesday 10 February 2015

DAWA YA MAFUA ISIYO NA MADHARA

Watu wengi husumbuliwa sana na mafua makali na wakati mwingine kupiga chafya mfululizo. Ili kuondokana na tatizo la mafua unashauriwa kuandaa kinywaji kifuatacho kisicho na kemikali :

MAANDALIZI

Chukua :

1. Maji lita moja

2. Asali vijiko 3 vikubwa vya chakula

3. Tangawizi ya unga kijiko kimoja kikubwa cha chakula au tangawizi mbichi itwange upate mchanganyiko uliopondeka kijiko kimoja kilichojaa.

Chemsha mchangyanyiko wako wote huo kwa pamoja mpaka uchemke vizuri ambapo inategemea na moto wa jiko lako lakini mpaka utakapoona imechemka vizuri usiache ikakaukia jikoni inashauriwa dakika 15 hadi 20 inatosha.

Kisha iache ipoe na KUNYWA NUSU GLASI MARA TATU kwa siku yaani asubuhi , mchana na usiku.




Kwa wale walio na mafua sugu yanadondoka muda wote na kupiga chafya nyingi sana zisizo na idadi basi zitakata mara moja na siku ya pili zitaisha kabisa kumbuka kunywa dawa hii mwezi mzima au hadi miezi miwili utapona kabisa.

Kinywaji hiki ni dawa ya mafua safi kabisa unatumia siku moja tu unakua na nafuu kabisa ila dozi yake inataka utumie mwezi mmoja hadi mwezi mmoja na nusu mfululizo bila ya kuacha.
Matibabu ya Ugonjwa wa Kisonono + Sauti

Hamjambo wasikilizaji wapenzi na karibuni tena kujumuika nami katikakipindi cha Ijue Afya Yako.Kama mnakumbuka wiki iliyopita tulianza kuzungumzia magonjwa ya zinaa yaani sexually transmitted diseases (STD) na tulianza kuzungumzia ugonjwa wa kisonono. Tutaendeleza kipindi chetu cha leo kwa kuelezea matibabu ya ugonjwa huo, karibuni.


  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

0 comments:

Item Reviewed: DAWA YA MAFUA ISIYO NA MADHARA Description: Rating: 5 Reviewed By: fashion time na tatyana celestine
Scroll to Top