KUNA SIKU MTU AMBAZO ANAJISIKIA KUBAKI BILA KUPAKA CHOCHOTE USONI LAKINI ANAJIULIZA ATAFANYA NINI ILI AONEKANE MREMBO, WENGI WETU TUNAJIULIZA TUATAFANYA NINI? SULUHISHO NI HILI HAPA SASA.
Fata tips hizi zifuatazo::
1.Tumia Tinted moisturizer with SPF.Badala ya kutumia foundation, tumia a tinted moisturizer with enough spf. Hii italinda ngozi yako na Kui hydrate na hivo kuifanya iwe laini.
2.A cup of Hot vitamin C.
Hakikisha unakunywa maji ya moto yenye ndimu Kila siku. Itakata mafuta na kusafisha mwili, na hivyo kuiacha sura yako ikionekana fresh.
3.Alcohol free toner.
Tumia toner ambayo haina alcohol. Itasaidia ngozi ya sura yako kuwa na rangi moja. Na hutokuwa na haja ya kupaka makeup nyingi ukiamua kupaka.
4.Exfoliate twice a week.
No comments:
Post a Comment