Habari Mpya

Friday, 13 February 2015

shepu








































KP Jan













VIPI KUHUSU HII JAMANI NIPENI JIBU

If you real love ya child you wouldn't dare let this to happen, my God!





KUSAKA USTAA KWA KUPIGA PICHA ZA UCHI......KOLETHA AFUNGUKA!!!!









MWIGIZAJI Koletha Raymond ‘Koletha’ amefunguka kuwa hapendi umaarufu kwa kupiga picha za utupu kama wasichana wengi walio katika tasnia ya filamu wafanyavyo.











Mwigizaji Koletha Raymond ‘Koletha’.




Koletha aliyasema hayo ikiwa ni siku chache tu baada ya mitandao kadhaa kusambaza picha ya utupu inayoonesha sehemu ya kiuno, ikidaiwa kuwa ni ya msanii huyo ambapo paparazi wetu alipomhoji kuhusiana na picha hiyo, alitiririka:




“Hiyo picha siyo yangu. Mimi siwezi hata siku moja kusaka usupastaa kwa kupiga picha za uchi, kwanza sipendi na sitaki kufanya hivyo sababu ninajiheshimu tofauti na wenzangu wanaoendekeza mambo hayo wakati hawana kazi hata moja sokoni,” alisema Koletha.


WE UNAONAJE UCHI MPAKA IWEJE? ANGALIA PICHA ZA MDADA HUYU. HII NDO FAILURE TUNAIITA AISEEE.

HARUFU MBAYA SEHEMU ZA SIRI (VAGINOSIS)

LEO tutazungumzia tatizo linalowasumbua wanawake wengi nalo ni la kutokwa na uchafu unaotoa harufu mbaya sehemu za siri.

Kitaalamu hali ya mwanamke kutokwa na majimaji yenye rangi nyeupe au ya njano, ni hali ya kawaida na wala siyo tatizo endapo majimaji hayo siyo mazito sana na wala hayatoi harufu mbaya.

Ila majimaji yanayotoka yakiwa katika hali ya ute mzito wenye rangi nyeupe au kahawia na yakiwa yanatoa harufu mbaya na yanawasha, basi hiyo ni ishara ya ugonjwa uitwao Vaginosis.

Majimaji au ute unaoteleza kutoka sehemu za siri ni njia inayowezesha viungo vya uzazi vya mwanamke kujisafisha na kuutoa uchafu wa seli zilizokufa na mabaki ya damu ya hedhi nje ya mwili.

Utokaji huo wa uchafu ni njia ya kuvikinga viungo vya uzazi dhidi ya maambukizi ya bakteria au fangasi wanaoleta magonjwa. Kwa kawaida huwa hayatoi harufu na huwa na rangi nyeupe au ya njano.

Pia huwa na asidi ya lactic ambayo huzuia kuzaliana kwa vijidudu vya maradhi na huzalishwa kwenye tezi za Bartholin. Kwa kawaida, mwanamke hutoa kiasi cha gramu 2 za seli zilizokufa kutoka kwenye mji wa uzazi na gramu 3 za ute mwepesi kila siku.

Kiwango hiki huweza kuongezeka au kupungua kutegemeana na mzunguko wa hedhi. Kuna wakati ute huwa mwepesi na unaovutika (kama ute wa yai la kuku) na kuna wakati huwa mzito kiasi na wenye rangi ya njano.

Ute huu ni wa kawaida na huwatoka wasichana au wanawake wote baada ya kuvunja ungo.




SABABU ZA KUTOA UTE

Katika uchunguzi wa kitaalamu imegundulika kuwa kuna mambo mengi yanayosababisha mwanamke kutoa ute au majimaji yasiyo ya kawaida kwenye sehemu zake za siri.

Maambukizi ya bakteria wanaosababisha magonjwa kama Trichomoniasis, Candidiasis, Kisonono au Gonorhear au uambukizo wa bakteria Candida albicans na Vaginosis husababisha mwanamke kutokwa na uchafu unaoambatana na harufu mbaya.

Pia kukaa na pedi muda mrefu sana bila ya kubadilishwa wakati wa hedhi, huweza kusababisha tatizo hili na kuwa mazalia mazuri ya bakteria wanaosababisha harufu mbaya.




DALILI

Wanawake wenye tatizo la Vaginosis huwa na dalili kubwa ya kutokwa na

uchafu usiyo wa kawaida sehemu za siri. Uchafu huu huwa unatoa harufu kali kama shombo ya samaki au kitu kilichooza na huambatana na maumivu makali ya tumbo chini ya kitovu.

endelea kufuatilia kuendelea kujua undani kuhusu tatizo hili na tiba yake.




kumbuka harufu yoyote mbaya kwa binadamu ni failure.




Posted by GLOBAL on June 25, 2013 at 9:08am










Too much makeups is failure.





























































  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

0 comments:

Item Reviewed: shepu Description: Rating: 5 Reviewed By: fashion time na tatyana celestine
Scroll to Top