Kutoka Swahili fashion week Tanzania jukwaa pekee linalotoa tuzao kwa
Tasnia ya mitindo na urembo Tanzania limemzawadia Asia idarous khamsini ambaye alistahili kupata tuzo hiyo kwani ametumikia tasnia hiyo zaidi ya miaka thelethini na tano (35) amefanya maonesho ya mitindo zaidi ya 150 Tanzania na nje ya Tanzania na bado jamii inamuhitaji katika ulimwengu wa mitindo. Tunampongeza sana dada Asia mama wa mitindo kwa kupokea tuzo hiyo.
Ameaibua vipaji vingi vya ubunifu wa mitindo Tanzania na bado vipaji vinaendelea kuchipuka kupitia kwa Asia Idarous Mama wa mitindo.Tazama picha kwa matukio zaidi.
0 comments:
Post a Comment