Habari Mpya

Saturday, 22 February 2014

Tazama picha za utengenezaji wa video ya Wimbo wa Kombe la Dunia, Jennifer Lopez na Pitbull Ndani

Wiki hii mwanamuziki Jennifer Lopez alikuwa busy sana katika  kushoot video mbili za muziki, kilichonifurahisha ni ubunifu wa kivazi chake, nyenzo iliyotumika ni hizihizi shanga ambazo sisi tunavaa shingoni, kiunoni , mkononi nk, ebu jionee na huu ndo ubunifu unaotakiwa.
 Ya kwanza ni video ya wimbo wake aliofanya na Ricky Martin uitwao, “Adrenalina.” Na baadaye huko Fort Lauderdale, Florida JLO na Pitbull walishoot video ya wimbo wao maalum wa kombe la dunia Brazil 2014, “We are One (Ole, Ola).” Video hiyo ilifanyika jijini Miami. 
Tazama picha hapa chini.















  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

0 comments:

Item Reviewed: Tazama picha za utengenezaji wa video ya Wimbo wa Kombe la Dunia, Jennifer Lopez na Pitbull Ndani Description: Rating: 5 Reviewed By: fashion time na tatyana celestine
Scroll to Top