Fashion show
ya Red Ribbon inayofanyika kila mwaka katika siku ya Ukimwi duniani,
December 1usiku wa jana imefanyika katika ukumbi wa Mlimani City jijini
Dar es salaam.
Mbunifu wa mavazi na mwandaaji wa Red Ribbon Khadija Mwanamboka akiongea katika usiku wa Red Ribbon
Red Ribbon
huwakutanishwa wadau mbalimbali wa fashion nchini kwa kuonyesha mavazi
yao pamoja na ukusanyaji wa pesa kwaajili ya kuwasaidia watoto wenye
maambukizi ya virusi vya Ukimwi ili kuwaboreshea maisha yao na
kuhakikisha wanaishi katika mazingira mazuri.
0 comments:
Post a Comment