Thursday, 2 January 2014

DUNIA ILIVYOSHEREHEKEA MWAKA 2014


Fireworks explode from Taiwan's tallest skyscraper, the Taipei 101 during New Year celebrations in TaipeiMaelfu ya watu duniani wanajiandaa na sherehe za kuupokea mwaka mpya wa 2014, huku katika mji wa Sydney nchini Australia wakiwa tayari wamekwisha upokea mwaka mpya wa 2014 kuliko maeneo mengine yote duniani na sherehe za kijadi zinaendelea kwa ajili ya sherehe hizo.
Veronica Boshen and Brittany Wells, of Allentown, Pa., pose for a photo with their 2014 glasses while waiting for the celebration to begin in Times Square on New Year's Eve, Tuesday, Dec. 31, 2013, in New York. (AP Photo/Kathy Willens)Traders at the closing bell on the floor of the New York Stock Exchange on New Year's EveBerlin kumen'gara
Baada ya kuingia kwa mwaka mpya Berlin.
Sherehe za mwaka mpya mjini New York.(01.01.2014). Dubai imevunja rekodi ya dunia kwa maonyesho makubwa kabisa ya fataki kuwahi kushuhudiwa katika Mkesha wa Mwaka Mpya yaliyohusisha fashifashi nusu milioni.

Fataki hizo zilin'gara angani kwa dakika sita na kutanda kwenye mwambao wa Dubai wa kilomita 100, kivutio kikuu cha fataki hizo kikikiwa kutoka kwenye jumba refu kabisa duniani la Burj Khalifa lenye urefu wa mita 830 na katika hoteli ya kifahari ya Atlantis ilioko Palm Jumeira, mojawapo ya visiwa vitatu vilivyotengenezwa na binaadamu kikiwa na umbo la mtende.

Rikodi ya mwisho iliwekwa na Kuwait hapo mwaka 2011 kwa onyesho la fataki 77,282 lililodumu kwa saa nzima.
 
Confetti is dropped on revellers at midnight during New Year's Eve celebrations in Times Square in New York January 1, 2014.
  
Picha ya Hayati Nelson Mandela zimetanda kila pembe ya dunia.

No comments:

Post a Comment