Mikel ameendelea kusema kua gari anaendesha kubwa kutoka kwamba magari madogo ya siti au kiti kisicho na uimara ambao hauwezi kumudu uzito wake kwani yeye mwenyewe ana uzito wa kilo 190 na akiwa na umri wa miaka 39.
Mikel Ruffineli akipimwa.
kiti atumiacho akiwa nyumbani.
anasema unene sio sababu ya yeye kuzuiwa kwenda ufukweni kupunga upepo.
Kaongeza kua pamoja na unene huo alionao hakuna mbinu ya zaida ambayo
ameifanya ili awe hivyo ila ndo maumbile yake aliyozaliwa nayo kwan
tangu alipozaliwa alikua na kilo zipatazo 63 na pia uwezekano wa kufanya
upasuaji kwa ajili ya unene huo upo ila sema anajivunia kua mnene na
umbo hilo pia kaendelea kusema uzito alionao umeweza kuchangiwa na kua
na watoto wanne.
No comments:
Post a Comment