Habari Mpya

Tuesday, 10 February 2015


Tia asali ndani ya kikombe na kisha ongeza Vastini na Mafuta ya Waridi (Marashi jabali), jipake mahala panapowasha asubuhi na jioni na jiepushe na vinavyochochea kujikuna kama vile mayai, maende na mfano wake, na pia pendelea kunywa asali kila siku.

Maradhi yote ya ngozi.

Chukua mafuta ya Habati soda, Mafuta ya waridi (marashi jabali) na unga wa ngano asili, vyote kwa kiwangi sawa lakini unga wa ngano uwe zaidi kuliko mafuta , halafu ukande vizuri kabla ya kujipaka, pangusa sehemu yenye ugonjwa kwa kitambaa kilicholoweshwa siki nyepesi, halafu kaa kwenye jua, baadae jipake dawa hiyo kila siku.AMA

Osha sehemu husika tia maji ya moto, chukua mafuta ya Habat Soda changanya na asali paka sehemu yenye ugonjwa.

Pia kuna dawa za mitishamba nyingi kama utakuwa unazihitaji nitafute kwa namba nilishaitanguliza juu.

Matatizo yakizidi muone daktari kwa matibau zaidi.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

0 comments:

Item Reviewed: Description: Rating: 5 Reviewed By: Tatyana Celestine
Scroll to Top