mara kwa mara katika mwezi huu hukutana na wanawake wakivalia baibui , dela, abaya na hata kujitanda kagha zote hupendeza, lakini leo ebu ongeza aina mbalimbali za kuvaa nguo hizi na kuzidisha mvuto hasa kwa mwanamke wa kisasa unayependa kwenda na wakati. 
gauni refu likinakshiwa na kujitanda mtandio kwa namna yake huvutia namna hii
unaweza ukavaa nguo yako kwa mtindo huu na ukabaki palepale mwanamke aliyejistiri
wanawake wengi wamekua wakivalia mavazi yanayoendana na mwezi mtukufu wa ramadhani bila kujali dini wala kabila gani la mtu husika, mavazi haya yanamfanya mwanamke ajistiri pia kumfanya aonekane mrembo endapo tu utapatia aina ya mavazi na namna ya kuyavalia mavazi haya.















0 comments:
Post a Comment