Habari Mpya

Tuesday, 3 June 2014

SERIKALI YA SWAZLAND KUWATUMIA WATOTO WA FAMILIA YA KIFALME NA MACHIFU KUSAIDIA KUKABILIANA NA TATIOZ LA UHARIBIFU WA MISITU NA MAZINGIRA NCHINI TANZANIA.

TANZANIA IMEKUA MOJA KATI YA NCHI AMBAYO INAHANGAIKA SANA KUTAFUTA VAZI LA KITAIFA, NA MPAKA SASA IMEKUA KITENDAWILI KWA NCHI HIYO KUFANIKIWA KUPATA, LAKINI WAKATI HUOHUO NCHI ZA AFRIKA KAMA SWAZLAND KWA HESHIMA YA NCHI YAO WAMELIPA THAMANI KUBWA VAZI LAO NA KUFANYA SAFARI TOKA KWAO HADI TANZANIA WAKIWA WAMETUPIA KANGA NA KIKOI, HIZI NI SALAM KWA WATANZANIA WOOOTE

 HAPA WAKIWASILI KWENYE UKUMBI WA ICE - CHUO CHA SOKOINE (SUA) KWAAJILI YA KUSIKILIZA MADA MBALIMBALI ZA UHIFADHI WA MISITU NA MAZINGIRA.


 KIONGOZI WA MSAFARA HUO KUTOKA SWAZLAND BI:SYLVIA NONHLANHLA AKIELEZA LENGO LA ZIARA YAO YA MAFUNZO NCHINI TANZANIA.

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

0 comments:

Item Reviewed: SERIKALI YA SWAZLAND KUWATUMIA WATOTO WA FAMILIA YA KIFALME NA MACHIFU KUSAIDIA KUKABILIANA NA TATIOZ LA UHARIBIFU WA MISITU NA MAZINGIRA NCHINI TANZANIA. Description: Rating: 5 Reviewed By: Tatyana Celestine
Scroll to Top