Sunday, 5 January 2014
Katika pitapita zangu nikakutana na Zitto Kabwe, lakini nilipomwangalia nikaona amenogeshwa na kivazi hiki, wenyewe wanakiita cha kimila, tulipe jina gani vazi hili, na kama mila linamaanisha nini? ebu nipe maoni yako mpenzi wa blog hii.
- Blogger Comments
- Facebook Comments
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment