Habari Mpya

Monday, 6 January 2014

SAFARI YA WAZIRI WA FEDHA TANGU KUZALIWA KWAKE MPAKA KUZIKWA

FASHION TIME NA TATYANA CELESTINE INATOA POLE SANAA, KWA FAMILIA NA TAIFA KWA UJUMLA, MUNGU AILAZE MAHALA PEMA PEPONI ROHO YA MAREHEMU DK.WILLIUM MGIMWA. BWANA AMETOA NA BWANA AMETWAA JINA LAKE LIHIMIDIWE.AMINAHAPA NDIPO NYUMBANI KWA ALIYEKUWA WAZIRI DK.MGIMWA ALIPOZALIWA NA ALIPOKUWA AKIISHI,PIA NDIPO ATAKAPOZIKWA
WANACHAMA WA CCM WAKIPANDISHA BENDERA YA CCM NYUMBANI KWA ALIYEKUWA WAZIRI DK.MGIMWA
Hapa ndipo nyumbani alipozaliwa na alipokuwa akiishi aliyekuwa waziri wa fedha na mbunge wa jimbo la Kalenga Dr Wiliam Mgimwa na ndipo atazikwa hapa

Original from: http://googlehabari.blogspot.com/2014/01/hapa-ndio-kijijini-kwa-waziri-wa-fedha.html
Copyright EXEIdeas - All Rights Reserved
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

0 comments:

Item Reviewed: SAFARI YA WAZIRI WA FEDHA TANGU KUZALIWA KWAKE MPAKA KUZIKWA Description: Rating: 5 Reviewed By: Tatyana Celestine
Scroll to Top