INGELIKUA WEWE KUTOKANA NA UMRI WAKE UNGEMSHAURI AVAE NINI, APAMBWE VIPI ILI AZIDI KUTOKELEZEA AU HIVYO HIVYO ILIKUA POA TU? TOA COMMENT.
Muigizaji mkongwe wa tansia ya filamu hapa Bongo, Suzan Lewis ‘Natasha’ amefunga ndoa kwenye Kanisa la Mtakatifu Joseph lilipo Posta jijini Dar na mume wake Alex Humbila .
Kabla ya kutinga kanisa kamera yetu ilimnasa Natasha katika suluni moja maarufu kwa kupamba mastaa mbalimbali hapa Bongo , Partners Wedding iliyopo Sinza Mori akiwa anaandaliwa kwaajili ya kwenda kanisani. Kufunga ndoa
0 comments:
Post a Comment