NEWS ALERT: HABARI KAMILI KUHUSU MZEE SMALL
HABARI ZILIZOTUFIKIA
Kuna habari kuwa Mzee Small mchekeshaji
ndio aliyefariki dunia lakini sio mzee Small mwigizaji, aliyefariki
dunia ni Mzee Small wa Tabata na kiumbilile ni mfupi kama Mzee Small wa
vichekesho kwa hiyo na yeye wanamuita mzee small.
Nimeongea na mtangazaji wa EA Radio &
TV Sam Misago wakati alipokuwa hosp ya Amana na akasema kuwa ameambiwa
sio yeye Mzee Small tunayemjua sisi bali ni mzee mwingine anayeitwa jina
hilo so watu wakasambaza ujumbe mfupi bila kujua kama ni yeye au la.
Tunaomba radhi kwa usumbufu uliotokea
UPOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOO!! LO HATARI.
No comments:
Post a Comment