Habari Mpya

Tuesday, 19 November 2013

Kitenge babu!!!!

Muigizaji wa filamu wa Nigeria
Omotola Jalade na kikoti cha kitenge
ama kwa hakika mitoko hii unaweza kuona ya kawaida sana lakini ukikipatia unachomoka barabara. angalia nakshi zilizowekwa katika kitenge hicho, kazi kwako saasaa. mambo mazuri yote hapa usipotezeee.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

0 comments:

Item Reviewed: Kitenge babu!!!! Description: Rating: 5 Reviewed By: Tatyana Celestine
Scroll to Top