Mkurugenzi Mwanukuzi wa The Look Company Limited, Basilla Mwanukuzi
Kampuni ya The Look Company Limited chini ya Mkurugenzi, Basilla
Mwanukuzi wasimamizi wapya wa Miss Tanzania baada ya kukabidhiwa
na Kampuni iliyokuwa inayoandaa mashindano hayo ya Lino International
Agency LTD chini ya Hashim Lundenga wametangaza ratiba ya mashindano
hayo nchini yaliyoanza rasmi tarehe 29 June 2018 na mikoa ya Dodoma na
Mbeya. Ikifuatiwa na mikoa mingine itakayo fanyika tarehe 7/7/2018.
Baada ya hapo yataanza mashindano ya kanda.
Kanda ya nyanda za juu kusini 13/07/2018
Kanda ya vyuo 21/07/2018
-
Kanda ya ziwa 28/07/2018
- Kanda ya Dar 28/07/2018
-
- Kanda ya kaskazini 28/07/2018
-
- Kanda ya kati 03/08/2018
-
- Kanda ya mashariki 04/08/2018
Miss Tanzania ya Lino International Agency LTD Hashim Lundenga
0 comments:
Post a Comment