Tuesday, 5 May 2015

Hivi ndivyo ilivyokuwa katika matukio ZARI ALL WHITE PARTY




Party imefanyika MAY 1 2015, story tayari ziko nyingi mitandaoni kuhusu burudani hiyo na ninafahamu kuna watu ambao hawako Dar na wangependa kuona kilichotokea.. wengine wako Dar ila hawakuhudhuria pia, nimeona isiwapite kabisa watu wangu !!



Ninazo pichaz nyingi sana mtu wangu, watu walipendeza sana.. nakusogezea kwanza hizi zaidi ya 35 za kwanza !! Kuanzia Red Carpet na kuendelea..



Burudani ya Makomando stage Red Carpet.

Nje palikuwa hivi, watu wanasogea mdogomdogo Mlimani City, DAR.

Msami kwenye Red Carpet.

Queen Darleen na watu wake

Fans wengine walikuwa na bango kabisa !!

TID na Lamar kwenye Interview Red Carpet

.

.

.

.

Khamis Dakota

.

.

Watu wa nguvu kwenye picha za kumbukumbu.

.

.

Camera zote zikaangalia Red Carpet.

Barakah Da Prince

.

Msanii Ditto kwenye Interview

Producer Sheddy Clever, mikono yake imeandaa hits nyingi za Diamond Platnumz

Ruby

.

.

Keisha, mkali mwingine Bongoflevani

Boss wa Clouds, Ruge Mutahaba wako na Eric Omondi, comedian toka Kenya.

.

.

Diamond Platnumz anashuka kwenye Limo.. kaongozana na Madam Rita, baunsa wake Mwarabu na Meneja wake, Salam.

Hapo yuko Mkubwa Fella, Salam, Zari, Diamond Platnumz, Nay wa Mitego,Mwarabu pamoja na rapper AKA.

Camera zilikuwa nao hatua kwa hatua.

.

.

.

.

.

.

.


No comments:

Post a Comment