Habari Mpya

Thursday, 12 February 2015

Lebanese


Kikawaida vyakula vya ndani na nje ya nchi vina tofauti kubwa sana, wakati mwingine kikiwa nimetoka mahala tofauti na nyumbani ni lazima nile chakula ambacho na nilichokizoea, yote hayo ni kutaka kujua kuna tofauti gani ya mapishi kati ya kwetu na wengineo na hasa nikipata nafasi basi hutafuta njia ya kujifunza kupika chakula kile ili na wenzangu wapendao vyakula tofauti wajaribu na haya.

Basi kama uonavyo kwenye picha, kuna wings, ambazo zimemarinatiwa vizuri kisha zikachomwa (grill wings, chips na salad. Hizo wings zao ni tamu kwelikweli wao hupenda kuziita lebanise.enjoy.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

0 comments:

Item Reviewed: Lebanese Description: Rating: 5 Reviewed By: fashion time na tatyana celestine
Scroll to Top