“Design is a constant challenge to balance comfort with luxe, the practical with the desirable.”
Sunday, 31 August 2014
UKISTAAJABU YA MUSSA UTAONA YA........ mwanamke mwenye rasta ndefu ajabu
Asha
Mandela (47) kutoka Atlanta, Georgia amefuga nywele hizo kwa miaka 25.
Inasemekana zina urefu wa futi 55. Asha amegoma kuzikata nywele zake
licha ya kushauriwa na madaktari kutokana na madhara ya kupooza ambayo
anaweza kuyapata. Alisema nywele hizo zimekua kama sehemu ya mwili wake,
ni maisha yake hivyo kamwe hawezi kuzikata.
Asha huzichukulia nywele hizo kama mtoto wake. Humchukua siku mbili kuziosha na kuzikausha nywele hizo.
No comments:
Post a Comment