Mwaka 1960 jumsuit ilianza kuonekana na kupata umaarufu
zaidi mwaka 1980.Jumpsuit ilionekana kwa kasi katika maonyesho tofauti
ya wana mitindo katika miaka hiyo.Tasnia ya mavazi imekuwa na mabadiliko
makubwa kila kukicha huku aina mpya ya mitindo ikikubalika kila wakati
hapa nchini.
Kwa kiasi kikubwa maboresho hayo yanatokana na ubunifu katika
utengenezaji wa mavazi. Jumpsuit ilionekana kuvaliwa na mastar tofauti
kama Britney Spears, Aliyah, Elvis Presley ambao wote wali pandisha
chati vazi la Jumpsuit kwa kuvaa katika show zao katika maju kwaa.
Jumpsuit ilikuwa ndio habari ya ma-star kipindi hicho cha miaka 80
iliyopita na hata muda huliopo. Vazi la jumpsuit limekuwa laki pekee kwa
sababu limetengenezwa kwa kuunganisha suruali na vazi la juu.Jumpsuit ni vazi ambalo linaweza kuvaliwa katika events yoyote ile yaweza kuwa office sherehe kwenye meeting hata kanisani, Jumpsuit ina weza valiwa na age yoyote watoto, Vijana, Wazee na Wanamitindo pia huvaliwa na mtu mrefu mfupi mnene mwembamba sambamba na kiatu kirefu hunogesha . Haitakuja kushangaza kuona vazi hili likija kuvaliwa kama Kanisani, Ofsini na sehemu nyingine za heshima.
0 comments:
Post a Comment