NA MATIBABU YAKE BUREEEE KWA WALEMAVU YA NGOZI WOOTE NCHINI.
MBALI NA KIFAA HICHO MAFUTA YA KUZUIA MIONZI YA JUA PAMOJA NA KOFIA VILIGAWIWA BURE KWA WALEMAVU WA NGOZI WALIOFIKA HAPO
BAADA YA MAKABIDHIANO HAYO SASA WAAHAIDIWA KUNUNULIWA KINGINE ENDAPO KITAISHA, NA MATIBABU HAYO YATAKUWA NI YA KUDUMU KATIKA HOSPITAL YA MKOA WA MOROGORO.
PONGEZI NYINGI KWAO KWANI WAO WAMEONA KUNA UMUHIMU NA WAKAANZA BASI SERIKALI NAYO IMEWASHIKA MKONO
0 comments:
Post a Comment