Salim
Kikeke wa BBC Dira ya Dunia, mshindi wa kipengele
cha Mtangazaji wa Runinga
Anayependwa, akizungumza machache baada ya kutangazwa.
cha Mtangazaji wa Runinga
Anayependwa, akizungumza machache baada ya kutangazwa.
Mkongwe
King Majuto akiwapa mashabiki wake heko kwa kumpigia kura.
Ameshinda kipengele cha Muigizaji wa Kiume Anayependwa Kwenye Filamu.
Pembeni ni Lulu Michael, mshindi wa Mwigizaji wa Kike Kwenye Filamu
Anayependwa.
Ameshinda kipengele cha Muigizaji wa Kiume Anayependwa Kwenye Filamu.
Pembeni ni Lulu Michael, mshindi wa Mwigizaji wa Kike Kwenye Filamu
Anayependwa.
Luca Neghesti na Nancy Sumari waandaaji wa shughuli ya Tuzo za Watu.
Wao pia wanahusika na Bongo5.com.
Wao pia wanahusika na Bongo5.com.
Salim Kikeke (katikati), Mtangazaji wa Runinga Anayependwa
akiwa na Luca Neghesti na Nancy Sumari waandalizi wa
Tuzo za Watu.
akiwa na Luca Neghesti na Nancy Sumari waandalizi wa
Tuzo za Watu.
Kichwa
chenyewe ndiyo hiki, Luca Neghesti mwasisi wa Tuzo za Watu.
Kijana ana mipango mizuri, anastahili kuungwa mkono.
Boss wa Bongo5 pia.
Kijana ana mipango mizuri, anastahili kuungwa mkono.
Boss wa Bongo5 pia.
Sasa
hapa Majuto (kofia nyeupe) huwezi kujua anaigiza au la! Lakini huyu
kweli
mkongwe, toka enzi za DDC Magomeni Kondoa, chuma kimedumu sana hiki.
Jacqueline Wolper yuko na simu, sijui ni Instagram au…!?
mkongwe, toka enzi za DDC Magomeni Kondoa, chuma kimedumu sana hiki.
Jacqueline Wolper yuko na simu, sijui ni Instagram au…!?
Millard Ayo wa Clouds FM, kama kawaida yuko smart sawa sawa. yeye kaondoka na
mtangazaji wa redio anayependwa.
mtangazaji wa redio anayependwa.
0 comments:
Post a Comment