Tukio linakaribia kuanza kwenye ukumbi wa Mlimani city hall ambapo wasanii mbalimbali wanategemea kushinda tuzo usiku wa leo. Hizi ni picha 10 za kwanza kutoka kwenye red carpet ya Kili music awards 2014.
Endelea kufuatilia TZA na kwenye page zangu za facebook, instagram na twitter kwa updates za tukio hili.
0 comments:
Post a Comment