WAKATI
NASOMA SHULE YA MSINGI KUNA SOMA LA MAARIFA AMBAPO NDANI YAKE KULIKUWA
NA SAYANSI KIMU... NI SOMO AMBALO NILIKUWA SILIPENDI LAKINI NIKAWA
NAFAURU VIZURI, NADHANI SABABU YA KUTO KULIPENDA HILI SOMO NI KUTOKANA
NA KWAMBA LILIKUWA NI SOMO JEPESI NA WALIMU WALILITILIA MKAZO BADALA YA
KUTILIA MKAZO MASOMO MAGUMU MAGUMU KAMA HESABU NA GEOGRAPHY..... ILA LEO
HII NIMEGUNDUA SAYANSI KIMU ILIKUWA NI ELIMU YA KUJIKIMU NA KUJIJENGA
KIMAISHA... HAPO NDIPO NILIPOJIFUNZA UMUHIMU WA MAPAZIA NDANI YA
NYUMBA.... |
0 comments:
Post a Comment