hii ni ya kwenu wakina kaka ambao mnapenda kwenda na wakati, ni aina ya kiafrika fulani hivi, lakini iko poa sana kwa mwanaume wa aina yeyote, unaweza ukachagua aina tofauti ya rangi, na pia mshono, yote kwa yote iite kwachukwachu style, nayo imebuniwa nae MARTIN KADINDA
hakika huwezi kutupia macho mahala pengine hasa ukimwona kaka katupia kinamna hii, so nice , so perfect, lets go fashion my people. |
0 comments:
Post a Comment