Kanisa Marekani lilitangaza kuvaa nguo za kiafrika kumheshimu Mandela!
Mchungaji maarufu Otis Moss lll wa
kanisa la Trinity United Church of Christ, aliandika kwenye ukurasa
wake wa twitter kuwaomba washirika na wageni wavae mavazi ya kiafrika
kwenye ibada iliyofanyika Jumapili tarehe 08 Dec 2013 ambapo walimkumbuka Nelson
Mandela kwenye Ibada hiyo.
0 comments:
Post a Comment