Thursday, 2 January 2014

Tuwe waangalifu na kucha za bandia

BAADHI yetu hatuna kucha zenye afya na zinazopendeza kutokana na mazingira hayo wakati mwingine tunataka kufanya mabadiliko kidogo kwa kuzingatia uwezo.
Unaweza kupata kucha za bandio zinazopendeza kama kucha zako taabu ni ununuzi na utunzaji wake. Kucha hizi hupatikana kwa wataalamu wa masuala ya urembo lakini nataka kusema pamoja na uzuri wa kucha hizo hauwezi kufikia kucha zako za asili. Kucha hizi bandia wakati mwingine huvuruga kabisa kucha zako za asili kwa hiyo zinahitaji uangalifu mkubwa wa kuziweka na utunzaji wake na ni vyema mtaalamu akakuelekeza.

No comments:

Post a Comment