“Design is a constant challenge to balance comfort with luxe, the practical with the desirable.”
Sunday, 5 January 2014
TIZAMA PICHA ZA ZITTO KABWE AKIWA KATIKA MAVAZI YA KIMILA
Katika pitapita zangu nikakutana na Zitto Kabwe, lakini nilipomwangalia nikaona amenogeshwa na kivazi hiki, wenyewe wanakiita cha kimila, tulipe jina gani vazi hili, na kama mila linamaanisha nini? ebu nipe maoni yako mpenzi wa blog hii.
No comments:
Post a Comment