Habari Mpya

Monday, 20 January 2014

NATASHA WA BONGO MOVIE KATIKA MAANDALIZI YA NDOA YAKE TUPIA MACHO

INGELIKUA WEWE KUTOKANA NA UMRI WAKE UNGEMSHAURI AVAE NINI, APAMBWE VIPI ILI AZIDI KUTOKELEZEA AU HIVYO HIVYO ILIKUA POA TU? TOA COMMENT.

Natasha akiwa anawekwa gauni vizuri na mpambaji wa saluni ya Partners.

Natasha akijiangalia kama yuko sawa.

…Akitengenezwa vizuri na mtaalamu wa nywele kwenye saluni hiyo.

…Akiendelea kupambwa vizuri.

…Akiwa na mpambe wake Neema wakiwekwa vizuri.

…Akiwa amepozi katika saluni hiyo.

… Akiwa katika picha ya pozi na mpambe wake.

Muigizaji mkongwe wa tansia ya filamu hapa Bongo, Suzan Lewis ‘Natasha’  amefunga ndoa kwenye Kanisa la Mtakatifu Joseph lilipo Posta jijini Dar na mume wake Alex Humbila .
Kabla ya kutinga kanisa kamera yetu ilimnasa Natasha katika suluni moja maarufu kwa kupamba mastaa mbalimbali hapa Bongo , Partners Wedding iliyopo Sinza Mori akiwa anaandaliwa kwaajili ya kwenda kanisani. Kufunga ndoa
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

0 comments:

Item Reviewed: NATASHA WA BONGO MOVIE KATIKA MAANDALIZI YA NDOA YAKE TUPIA MACHO Description: Rating: 5 Reviewed By: fashion time na tatyana celestine
Scroll to Top