Super model Naomi Campell ameonekana huko Pwani ya kenya. Kwasasa Kenya inahali nzuri ya hewa na macelebs wengi hupenda kuja majira haya kwa ajili ya mapumziko.Model Huyu mwenye umri wa miaka 43 si kwamba yupo kwa ajili ya mapumziko tu bali ameamua kujumlisha mapumziko yake na shughuli zake zakihumanitarian kusaidia watoto yatima nchini kenya.
Naomi alikua Nchini Kenya tokea mwishoni mwa mwaka 2013 na aliweza kukutana na watu wengine maarufu huko pwani ya malindi kama Flavio Briatore,63 ambaye ni mfanyabiashara maarufu nchini italia ambaye naye alikua mapumzikoni kwenye pwani hizo za malindi.
No comments:
Post a Comment