Ilikua siku ya furaha kwa familia hii, lakini Fashion Time haikuwa nyuma ikataka kuona Mazingira ya wahitimu hawa yatakuwaje baada ya wao kutunukiwa Shahada ya Uzamili, si ndio tukatoka sasa.... endelea kufuatilia
Hatimaye tukafika hapa mahali unapaonaje?
Basi tukapata picha za hapa na pale pamoja na ndugu wa wahitimu kwa kumbukumbu yao na yanguIt was Fantastic, si umemuona The Beautiful Tatyana Celestine alivyojiachia kiukweli walijipanga.....
Felix Mwagara.(Boss wangu)
Akiwa tayari kupewa shahada yake ya pili (Masters), na hapo ametulia tulii, wakati huku akiwa hana joho akatupia Suti yake Matata basi akaomba atokelezee kwenye Fashion Time na The Beautiful Tatyana Celestine.
The next PRO, ukitaka kujua namaanisha nini tuma maoni yako hapa......
Nilipofika sikuamini, si nikaanza kushangaa shangaaa, was so Wonderful place jamani...
No comments:
Post a Comment