Wednesday, 18 December 2013

MIGUU YA WEMA SEPETU YAPONDWA KWA KUKOSA MVUTO

Picha ya Wema Sepetu iliyopigwa wiki iliyopita akiwa Thai village masaki akila bata imezua gumzo kwa mrembo huyo kupondwa kuwa hana miguu mizuri licha ya kujazia juu lakini chini hana miguu ya bia. Wengine wamemponda Wema kwa kujichuna ngozi mpaka kupoteza mvuto anapopigwa picha za karibu zaidi. "me ni shabki wa Wema bt i think amebugi katika kujichubua na hao washauri wake ni wanafik why hawamshauri aache wakati madawa ya kujichubua yashaanza kumharibu" alisikika shabiki mmoja aliyejitambulisha kwa jina la Mwanaisha.. Picha hizo zimefika mitandaoni na wengine licha ya kumsifia Wema wengine wamemponda live mnyange huyo ,Salma Kibwana "miguu ya wema sijaipenda, bora avae nguo ndefu" . Wema alipigwa picha hizo akiwa na actress mwenzake Aunt Ezekiel .






No comments:

Post a Comment