Picha ya Wema Sepetu iliyopigwa wiki iliyopita akiwa Thai village masaki
akila bata imezua gumzo kwa mrembo huyo kupondwa kuwa hana miguu mizuri
licha ya kujazia juu lakini chini hana miguu ya bia. Wengine wamemponda
Wema kwa kujichuna ngozi mpaka kupoteza mvuto anapopigwa picha za
karibu zaidi. "me ni shabki wa Wema bt i think amebugi katika kujichubua
na hao washauri wake ni wanafik why hawamshauri aache wakati madawa ya
kujichubua yashaanza kumharibu" alisikika shabiki mmoja
aliyejitambulisha kwa jina la Mwanaisha.. Picha hizo zimefika mitandaoni
na wengine licha ya kumsifia Wema wengine wamemponda live mnyange huyo
,Salma Kibwana "
0 comments:
Post a Comment