Habari Mpya

Monday, 22 June 2015

Huyu ni mke wa mheshimiwa mmoja hiviiiiiiiii, la haulaa! hapa ndipo tumefikia

Faiza Ally ameingia kwenye vita kubwa ya maneno na msanii Peter Msechu baada ya msanii huyo wa bongo fleva kuandika ujumbe mzito.Leo asubuhi Peter Msechu ameitwa kubwa jinga na mwanamama huyo na kuambiwa bila mashindano ya bongo star search sijui angekuwa wapi.

Peter Msechu alitoa ya moyoni kulaani kivazi hicho kwa siku muhimu kama ile ambapo hadi viongozi wa serikali huudhulia na wasanii kupata nafasi ya kupewa kipaumbele nchi nzima na kutazamwa.

Mama huyo wa mtoto mmoja Sasha amedai watu wengi wamemfahamu kupitia kivazi hicho wasimuhukumu.Amefanya mengi na makubwa kwenye jamii,anasomesha watoto yatima nakujishuhulisha na kampeni za mauaji ya albino na magojwa ya kansa.

Na katika uhalisia kivazi hicho kilishuka bahati mbaya na kushindwa kupandisha.Watu maarufu walio laani tendo hilo kwa kumsapoti Peter Msechu ni Diamond Platnum,Kajala,Shilole,Jokate,Salama Jabir,Joe Makini,Jokate na Madam Lita kwa kulike ujumbe huo.  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

0 comments:

Item Reviewed: Huyu ni mke wa mheshimiwa mmoja hiviiiiiiiii, la haulaa! hapa ndipo tumefikia Description: Rating: 5 Reviewed By: Tatyana Celestine
Scroll to Top