Habari Mpya

Sunday, 3 May 2015

Sitti Mtemvu Kuzindua Kitabu, TV Talk Show na Foundation


Aliyekuwa Mshindi wa Miss Tanzania Kabla ya Kuvuliwa Taji Malkia Sitti Mtemvu Kuzindua Kitabu, TV Talk Show na Foundation Tarehe 2 May 2015


ALIYEKUWA MSHINDI WA TAJI LA MISS TANZANIA MWAKA 2014-2015 KABLA YA KULIVUA TAJI HILO MALKIA SITTI ABAS MTEMVU, SITTI AMBAYE TAREHE 02/05/2015 ANATARAJIA KUZINDUA KITABU CHAKE CHA CHOZI LA SITTI, TV TALK SHOW, PAMOJA NA FOUNDATION YAKE INAYOJULIKANA KWA JINA LA SITTI FOUNDATION AMBAYO MPAKA SASA IMESHAFIKA ZAIDI YA MIKOA 10 HAPA NCHINI HUKU LENGO LA KUFUNGUA FOUNDATION HIYO NI KUWEZA KUSAIDIA WATOTO WANAOISHI KWENYE MAZINGIRA MAGUMU PAMOJA NA WALEMAVU, PIA ANAMPANGO WA KWENDA KUKITANGAZA KITABU HICHO KIMATAIFA NA AMEPANGA KUANZIA NA NCHI YA IVORY COST

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

0 comments:

Item Reviewed: Sitti Mtemvu Kuzindua Kitabu, TV Talk Show na Foundation Description: Rating: 5 Reviewed By: Tatyana Celestine
Scroll to Top