Habari Mpya

Monday, 4 May 2015

Kim Kardashian aongeza Diamond 'North' kwenye vito vyake
Nyota wa "Keep Up with Kardashians" alikwenda shopping katika Canyon Beachwear katika Studio City, California, na Kris Jenner. Kama unaweza tazama mbali nyota huyo alikuwa amevaa urembo mpya. Urembo huo ni Hereni ya Almasi ilioandikwa jina la mwanae "North" katika sikio lake la kushoto. Hata hivyo, hii si mara ya kwanza kwa kim kuvaa hereni kama hii, kwani alishavaa iliyo na alama ya "KW".

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

0 comments:

Item Reviewed: Kim Kardashian aongeza Diamond 'North' kwenye vito vyake Description: Rating: 5 Reviewed By: Tatyana Celestine
Scroll to Top