Habari Mpya

Tuesday, 16 December 2014

Miss World 2014 Winner Is Miss South Africa, Rolene StraussScreenshot_2014-12-14-19-59-15
Rolene Strauss, Megan Young, Miss World 
Rolene Strauss, Miss World
 LEON NEAL/AFP/Getty Images

And the winner of the 2014 Miss World pageant is....Miss South Africa, Rolene Strauss!
The 22-year-old beauty queen was crowned onstage at the competition's grand final at the Excel London ICC Auditorium on Sunday. Strauss, the daughter of a doctor and nurse, is a fourth-year medical student.

Donning a high, blue and golden jeweled crown and pale pink, off-the-shoulder, romantic-style, cleavage-baring, ruffled evening gown, Strauss waved and smiled at the crowd.
Screenshot_2014-12-14-19-59-25

Mrembo wa Afrika Kusini Rolene Strauss ameshinda Miss World 2014 nakuchukuta taji kutoka kwa Megan kutoka Philippines kwenye show iliyofanyika ExCeL Exhibition Centre mjini London.
Rolene mwenye miaka 22 ambaye ni mwanafunzi anayesomea udaktari alisema “Hii kwaajili ya Afrika Kusini, nitajipanga kwaajili ya kinachokuja kutokea, haya ni majukumu makubwa sana
Megan naye alisema ” Natarajia Rolene atakuwa na furaha kwenye mwaka wake kama mimi
Mshindi wa pili ni Edina Kulcsar wa Hungary na watatu ni kutoka Marekani Elizabeth Safrit.

Screenshot_2014-12-14-18-19-12 Screenshot_2014-12-14-19-23-46 Screenshot_2014-12-14-19-36-08   Screenshot_2014-12-14-19-58-00 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

0 comments:

Item Reviewed: Miss World 2014 Winner Is Miss South Africa, Rolene Strauss Description: Rating: 5 Reviewed By: Tatyana Celestine
Scroll to Top