Habari Mpya

Monday, 30 June 2014

HIVI NDIVYO ILIVYOKUWA KATIKA TUZO ZA WATU

Salim Kikeke - BBC Swahili
Salim Kikeke wa BBC Dira ya Dunia, mshindi wa kipengele
 cha Mtangazaji wa Runinga
 Anayependwa, akizungumza machache baada ya kutangazwa.
4K0A3518
Mkongwe King Majuto akiwapa mashabiki wake heko kwa kumpigia kura. 
Ameshinda kipengele cha Muigizaji wa Kiume Anayependwa Kwenye Filamu. 
Pembeni ni Lulu Michael, mshindi wa Mwigizaji wa Kike Kwenye Filamu
 Anayependwa.
4K0A3607
Picha ya pamoja ya walionufaika katika Tuzo za Watu mjini Dar Es Salaam,
 Juni 27, 2014.
4K0A3436
Hamza Kasongo, mkongwe katika fani ya utangazaji Tanzania akimkabidhi 
Tuzo Salim Kikeke.
4K0A3253
Luca Neghesti na Nancy Sumari waandaaji wa shughuli ya Tuzo za Watu.
Wao pia wanahusika na Bongo5.com.
4K0A3705
Salim Kikeke (katikati), Mtangazaji wa Runinga Anayependwa
 akiwa na Luca Neghesti na Nancy Sumari waandalizi wa 
Tuzo za Watu.
Jimmy Kabwe
MC Jimmy Kabwe akiwa kazini – Tuzo za Watu 2014.
Jacqueline Ntuyabaliwe
Jacqueline Ntuyabaliwe aka K-Lynn
Faraja Nyalandu
Faraja Nyalandu
Salim Kikeke
Salim Kikeke wa BBC, Mzee wa Dira ya Dunia TV.
4K0A3250
Jacqueline Wolper.
Jacqueline Wolper naye alikuwepo.
Lulu Michael
Elizabeth ‘Lulu’ Michael
4K0A3304
4K0A3307
4K0A3333
4K0A3345
4K0A3362

4K0A3398
Luca Neghesti
Kichwa chenyewe ndiyo hiki, Luca Neghesti mwasisi wa Tuzo za Watu.
 Kijana ana mipango mizuri, anastahili kuungwa mkono. 
Boss wa Bongo5 pia.
Millard Ayo
Millard Ayo wa Clouds FM akifika kuchukua tuzo yake.

4K0A3440
JB
Mutu ya Kilo, JB
Lulu Michale na JB
JB akimkabidhi Lulu Michael tuzo ya Mwigizaji wa Filamu wa 
Kike Anayependwa.
King Majuto kofia nyeupe.
Sasa hapa Majuto (kofia nyeupe) huwezi kujua anaigiza au la! Lakini huyu kweli
 mkongwe, toka enzi za DDC Magomeni Kondoa, chuma kimedumu sana hiki.
 Jacqueline Wolper yuko na simu, sijui ni Instagram au…!?


4K0A3538
Washindi wa Tuzo za Watu.
Washindi wa Tuzo za Watu.
4K0A3623
4K0A3633
King Majuto
Kwa warembo hawa, hapa King Majuto lazima kaongezeka umri.
Millard Ayo.
Millard Ayo wa Clouds FM, kama kawaida yuko smart sawa sawa. yeye kaondoka na
 mtangazaji wa redio anayependwa.
4K0A3667
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

0 comments:

Item Reviewed: HIVI NDIVYO ILIVYOKUWA KATIKA TUZO ZA WATU Description: Rating: 5 Reviewed By: Tatyana Celestine
Scroll to Top