Habari Mpya

Sunday, 23 February 2014

Kanisa Marekani lilitangaza kuvaa nguo za kiafrika kumheshimu Mandela!

Mchungaji maarufu  Otis Moss lll wa kanisa la Trinity United Church of Christ,  aliandika kwenye ukurasa wake wa twitter kuwaomba washirika na wageni wavae mavazi ya kiafrika kwenye ibada iliyofanyika Jumapili tarehe 08 Dec 2013 ambapo walimkumbuka Nelson Mandela kwenye Ibada hiyo.

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

0 comments:

Item Reviewed: Kanisa Marekani lilitangaza kuvaa nguo za kiafrika kumheshimu Mandela! Description: Rating: 5 Reviewed By: Tatyana Celestine
Scroll to Top