Thursday, 12 December 2013

WENGI WAHUDHURIA MAFUNZO YA MATUNZO YA NYWELE

Wafanyabiashara wa vipodozi, warembo  wakiwa katika picha ya pamoja na wataalamu wa masuala ya nywele kutoka Marekani.

Baadhi ya watu waliohudhuria semina ya utunzaji na uwekaji dawa aina ya Organic unaofanywa na wataalamu kutoka Marekani katika Hotel ya Landmarl Hotel,Ubungo Dar es salaam.


Baadhi ya washiriki wakiangalia kwa furaha nywele za Dada Anitha


Paris akielezea matumizi ya Thermal Radiance 

No comments:

Post a Comment