Habari Mpya

Thursday, 5 December 2013

Vikuku ni urembo au?

HATA MIGUU NAYO HUPENDEZESHWA!!!! SWALI JE NI VIBAYA?kuna urembo wa kila aina tunamshukuru Mungu ametujalia na uwezo wa kutambua kipi kinafaa kuwa katika miili yetu na kuonekana kizuri, lakini kuna baadhi ya vitu kama hichi hapa,kinaitwa kikuku bado imekua matatani kikivaliwa mtu huonekana kinyume sasa leo nipatie jibu, kikuku ni urembo au? je kinavaliwa kwa maana ipi? mguu upi unatakiwa kuvaa na upi autakiwi au yote?
Kama kila mguu una maana yake, vikivaliwa miguu yote inamaanisha nini?
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

0 comments:

Item Reviewed: Vikuku ni urembo au? Description: Rating: 5 Reviewed By: Tatyana Celestine
Scroll to Top