Mshindi wa Tusker Project Fame 5 Ruth
Matete amewaomba msamaha mashabiki wake pamoja na media nzima kwa kivazi
alichokivaa siku ya Jumapili kwenye fainali hizo za TPF6 zilizokuwa
zikifanyika kule Nairobi Kenya.
Hapa zipo status alizoandika kupitia account zake za Facebook na Twitter unaweza kuzisoma hapa
No comments:
Post a Comment