Habari Mpya

Thursday, 12 December 2013

(News) RUTH MATETE (TPF5 Winner) aomba radhi kwa vazi alilovaa siku ya finali za TPF6


matete_091213

Mshindi wa Tusker Project Fame 5 Ruth Matete amewaomba msamaha mashabiki wake pamoja na media nzima kwa kivazi alichokivaa siku ya Jumapili kwenye fainali hizo za TPF6 zilizokuwa zikifanyika kule Nairobi Kenya.
Hapa zipo status alizoandika kupitia account zake za Facebook na Twitter unaweza kuzisoma hapa
matete matetetweetapology
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

0 comments:

Item Reviewed: (News) RUTH MATETE (TPF5 Winner) aomba radhi kwa vazi alilovaa siku ya finali za TPF6 Description: Rating: 5 Reviewed By: Tatyana Celestine
Scroll to Top