“Design is a constant challenge to balance comfort with luxe, the practical with the desirable.”
Monday, 16 December 2013
NATURAL HAIR IS BEAUTFULL MORE THAN EVER
JAMANI JAMANI, IMEKUA KAWAIDA KUONA KATIKA HARUSI BIBI HARUSI LAZIMA AENDE SALUNI AKASUKWE NYWELE BANDIA AU AKABANWE MITINDO TOFAUTI MBALI NA NYWELE ZAKE BINAFSI LAKINI LEO NIKUPE SIRI, NYWELE ZETU NI NZURI BWANA, ZINAPENDEZA NA ZINAONESHA UHALISIA WA MWANAMKE HAKIKA.
ANGALIA MITINDO HII YA NYWELE AMBAZO HAZINA DAWA WALA HAZIJAONGEZWA LAKINI WAMETOKA MWAAAAAA. SEE THIS.
No comments:
Post a Comment