HOMA YA KUWA NA MAKALIO MAKUBWA INAVYOTESA WANAWAKE.
Vanity mwenye miaka 30 mama wa watoto wa wawili wa nchini Marekani kabla alikuwa mwembamba tu hana makalio.
Anasema wanawake wengi hufikia hatua hiyo sio kwa lengo la kuwavutia wanaume bali kutoridhika na anachokiona kila anapojiangalia kwenye kioo.
Vanity anavyoonekana sasa baada ya kukuza hips na makalio.Anasema ameamua kuandika kitabu kuelezea ukweli kwa nini aliamua kufanya hivyo.
Anasema
kuwa kwenye process wanawake wengi hupoteza maisha,hupata ulemavu wa
kudumu na matatizo mengi tu hutokea.Wanawake wengi kisa kamuona mtu
fulani kafanikiwa kukuza makalio hupata tamaa matokeo yake huenda kwa
wataalam wa vichochoroni kukwepa gharama.Matokeo ndio huwa vifo na
ulemavu.
gharama.Matokeo ndio huwa vifo na ulemavu.
Hiki ndio kitabu cha Vanity kinavyoonekana kwenye cover.
No comments:
Post a Comment