Habari Mpya

Monday, 16 December 2013

KUMBE SI LEO TU HEMED HATA AKIWA MTOTO

Jamani mi nimependa sana hii, huyu pichani Hemedi akiwa na umri wa miaka mitano mnamo mwaka 1991, na huyo hapo pembeni yake ni mama yake mzazi, muangalie mama huyu miaka hiyo na muangalie tena Hemedi na mama yake hivi sasa, LoL THEY ARE FASHIONABLE, I LIKE THAT.
hapa ni baba yake mzazi na mama yake enzi hizo.. hii ni kukupa clue tu ili upate urahisi wa kutambua.. kwa kuwaangalia unahisi wamefanana na msanii gani wa filamu kwa sasa!?? 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

0 comments:

Item Reviewed: KUMBE SI LEO TU HEMED HATA AKIWA MTOTO Description: Rating: 5 Reviewed By: Tatyana Celestine
Scroll to Top