Habari Mpya

Thursday, 12 December 2013

ETI WAMESEMA MZEE SMALL AFARIKI, PATA HABARI KAMILI HAPA.

NEWS ALERT: HABARI KAMILI KUHUSU MZEE SMALL

NEWS ALERT: HABARI KAMILI KUHUSU MZEE SMALLHABARI ZILIZOTUFIKIA
Kuna habari kuwa Mzee Small mchekeshaji ndio aliyefariki dunia lakini sio mzee Small mwigizaji, aliyefariki dunia ni Mzee Small wa Tabata na kiumbilile ni mfupi kama Mzee Small wa vichekesho kwa hiyo na yeye wanamuita mzee small.
Nimeongea na mtangazaji wa EA Radio & TV Sam Misago wakati alipokuwa hosp ya Amana na akasema kuwa ameambiwa sio yeye Mzee Small tunayemjua sisi bali ni mzee mwingine anayeitwa jina hilo so watu wakasambaza ujumbe mfupi bila kujua kama ni yeye au la.
Tunaomba radhi kwa usumbufu uliotokea


UPOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOO!! LO HATARI.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

0 comments:

Item Reviewed: ETI WAMESEMA MZEE SMALL AFARIKI, PATA HABARI KAMILI HAPA. Description: Rating: 5 Reviewed By: Tatyana Celestine
Scroll to Top