Habari Mpya

Monday, 18 November 2013

ushawahi kuona Ray na staili yake mpya? bofya hapa.

 


rayray
Muonekano huu unaenda kuuona wa muigizaji na director wa bongomovie “Vicent Kigosi”unahusisha kubadilisha rangi ya nywere zake, tatoo kubwa kwenye mikono yote miwili na mavazi kama msanii wa bongoflava.
Yeye mwenyewe kwenye picha moja wapo aliandika caption ya “Je nageukia bongoflava au kuna nini kinakuja?”. Jinsi inavyoonekana ni moja ya maandalizi ya movie mpya kutoka RJ Company.
r1
r2
r3
r4
r5
You might also like:
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

0 comments:

Item Reviewed: ushawahi kuona Ray na staili yake mpya? bofya hapa. Description: Rating: 5 Reviewed By: Tatyana Celestine
Scroll to Top