Habari Mpya

Saturday, 26 October 2013

Where ma men at,this is for you.
Suti ni mtoko wa heshima sana, na halimkati mtu yeyote iendane tu na matukio unayoenda kuyafanya mara uvaapo vazi hili,unaweza ukalitumia kwenye ocation yeyote isipokua kwenye kigodoro,pia unaweza kulitumia kama dhana ya kuombea kazi tupia suti utathaminika kuliko mtu aliyevaa kawaida.jichagulie aina ya suti uipendayo angalau kabati yako iwe na suti zisizopungua mbili kwa mwanaume inafaaaa. see this.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

0 comments:

Item Reviewed: Where ma men at,this is for you. Description: Rating: 5 Reviewed By: Tatyana Celestine
Scroll to Top